Ijumaa, 4 Aprili 2014

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki azindua rasmi kampeni ya "Care For Me!"

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akitia saini sehemu maalumu kutoa ujumbe wake mara baada ya kufanya uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam jana 7/2/2013. 
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar esSalaam

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Bi. Anna Maembe akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuzindua kampeni.

Mkurugenzi wa SOS Tanzania, Mr. Anatory M. akizungumza na wageni waalikwa kabla ya uzinduzi.

Mratibu wa kampeni ya Care For Me kutoka SOS taifa, John Baptista akiwakaribisha wageni waalikwa katika hafla hiyo.

Mwakilishi wa Kituo cha SOS kutoka nchini Kenya akizungumza na wageni waalikwa katika hafla za uzinduzi huo.

Ofisa Mkuu kutoka Kitengo cha Utamaduni Ubalozi wa Ujerumani nchi Tanzania, Jan Dieter Gosink ambao ni moja wa wafadhili wa kituo hicho akizungumza na wageni waalikwa kabla ya uzinduzi wa kampeni za 'Nijali Mimi!' (Care For Me!) 

Watoto wa Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam wakiwa kwene hafla hiyo.

Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa Kijiji cha SOS wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Care For Me! iliyoandaliwa na kituo hicho.


Meza kuu katika hafla ya uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!'

Burudani mbalimbali za ngoma na sarakasi kwa wageni waalikwa.



Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akiwa katika moja ya darasa la awali liloloendeshwa na Kijiji cha SOS Dar es salaam , Shule hiyo pia hupokea  watoto wa nje ya kituo  wanaotoka maeneo jirani na kituo hicho


Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki alipata fursa ya kutembelea sehemu mbalimbali za kituo hicho  SOS baada ya uzinduzi wa Kampeni ya  'Care For Me!'  


  • Kampeni hizo za kuhamasisha jamii na makundi mbalimbali kuchangia na kumjali mtoto aliye katika mazingira hatarishi na yatima zinalenga kuwasaidia watoto zaidi ya 12,000 hadi kufikia mwisho wa kampeni yaani mwaka 2016.
  • Pamoja na mambo mengine fedha zitakazopatikana katika kampeni hiyo zitahakikisha zinaongeza idadi ya vituo vya SOS kuwasaidia watoto yatima na waliopo katika mazingira hatarishi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Leave your Comment here