Jumatatu, 21 Oktoba 2013

Care for ME Campaign and Youth Forum Preparation

 
Participants from different SOS facility meet in Zanzibar to discuss and prepare for up coming CARE FOR ME Campaign and Youth forum



Haikuwa  vyema  bila kutembelea eneo la tukio ambapo Kampeni ya CARE for ME itafanyika, Wawakilishi waliwasili Wilaya ya Kusini Magharibi na kupata wasaa wa kujadili na Mashea wa Vitongoji mbalimbali vya Wilaya ya Kusini Ungunja

 Mwenyekiti wa Maandilizi kutoka Arusha (Paulo Hella) akifafanua baadhi ya mambo kwa Mashea wa Vitongoji vya wilaya ya Kusini Magharibu


  Afisa Ustawi wa Jamii wa wilaya ya Kusini Magharibi akifafanua jambo wakati wa kikao



 Wawakilishi wa SOS na Mashea  wakifualia Mkutano kwa makini



 Hatimaje Mkutano uliisha na kuanza safari ya kurudi Unguja



Maoni 1 :

  1. ndugu wana sos wenzangu huu ni mwanzo nzuri kumbe tukiamua TUNAWEZZZZZZZZZAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    JibuFuta

Leave your Comment here